TANGAZO
ASALAM ALAYKUM
PAOLELENI NA MITIHANI JUMUIYA INA WATAKIA LIKIZO NJEMA NA KWA WALE WLIO MALIZA BASI ALLAH AWATANGULIE KWA KILA KITU HUKO MUENDAKO MSISAHAU KUUTETEA UISLAM POPOTE ULIPO PIA MSISAHAU KUTUKUMBUKA KA AINA YEYOTE ILE
KWA WANAO BAKI VIKA VITAENDELEA PINDI TUTAKAPO FUNGUA CHUO INSHAALAH
WENU KATKA IMANI
busazi hamisi, mohamedy kimangale, saada,
viongozi wa habari
No comments:
Post a Comment