YALIYO FANYIKA 8/11/2014 KATKA UKUMBI WA MAKUMBUSHO YA TAIFA POSTA YAKIWA NI MAHAFALI YA KWANZA KWA UWINGI WA WATU WAPATAO 362 NA WALIO HITIMU NA KUPATA VYET VYA TAMSYA NI 92 KUTOKANA NA JITIHADA ZA VIONGOZI KUSIMAMA KIDETE KUAKIKISHA UISLAM UNA SIMAMA CHUON HAPO. NA VIONGOZI HAO NDIO WANAO MALIZA AKIWEMO BUSAZI HAMISI, RAMLA IDDY, HASSANI MGALA, NAWENGINEO BAADA YA WALE WLIO PITA KAMA MDAYA,NJIGANI MADINA YUSRA,MWINYI NA WENGINEO SASA KWA UWEZO WA ALLAH UMMOJA UMEFANIKIWA KWA KIASI KIKUBWA KWA KUPITIA CHANGAMOTO NYINGI HAPO CHUONI, IKIWEMO SUALA LA HIJABU,KURUHUSIWA KUBANDIKA MATANGAZO, ALLHAMDULILLAH LIO VYOTE HIVYO VIMESIMAMA. KWA KWELI VIONGOZI HAWA WAMEPIGANA MPAKA WAMEFANIKIWA. HATUTA WEZA KUALIPA TUNA MUACHIA ALLAH PEKEE. TUTA WAKUMBUKENI SANA VIONGOZ SHUPAVU KAKA BUSAZI, DADA RAMLA,HASANI,MUHAJIRI,NJIGANI,MDAYA, MADINA, BILA KUWASAHAU WALEZI WETU UKHUT MARIAM KUHENGA,MAIMAM MASJD FERI. DHIMA NYINYI MNAO BAKI KWANI KAZI KUBWA IMEKWISHA KAKA BUSAZI MWANA HABARI MAKINI AMEKUA MSTAR WA MBELE KUUTANGAZA UMMOJA CHUO KIZIMA NA LEO WATU WANAUJUA BILA KUOGOPA MTU ALLAH AKULIPE NAWEZA KUKUPA KAMA KIONGOZI BORA KILA MTU ANA KILI HILO. TUAGALIE PICHA HIZ

WAHITIMU PAMOJA NA WAGEN WAKIWA UKUMBIN
AMIR HABAR NA AMIRAT HABAR WASTAAFU
AMIR MSTAAFU MUHAJ AKIWA NA WAHITIMU
WAGEN RASM WAKIWA MEZA KUBWA
MLEZ UKHUT MARIAM AKIWAKABIDHI WAHITM VYET
MOJA YA WAHITIM AKISOMA RISALA
AMIRAT WA DAWA AKISOMA SHAIRI
AMIR CHUO CHA I\@
RAIS WA CHUO AKIMPA MKONO MOJA YA WAHITIM
MGEN RASMI
MGENI RASMI AKIKABIDHI VYET
NAIBU AMIRAT AKIMPA MKONO MOJA YA WAHITIMU DADA MWAHIJA
KATIBU MSTAAFU AKITOA SHUKRAN HASANI MGALLA
AMIR CHUO CHA DIT
WAHITIMU WAKIWA UKUMBIN
NAIBU KATIBU MSTAAFU AKIWA NA AMIR
MLEZ WA JUMUIYA AKITOA NASAHA
picha zimepigwa na mohamed kimangale amir wa habari na kuwekwa na busazi amir wake mstaafu. ahsanteni.
No comments:
Post a Comment