Asalam alaykum Amir mstaafu Muhajili hussen akiambatana na
Amir wa habar Busazi. katika Shule ya AIRWING HIGH SCHOOL gongo la
mbuto jiji dsm shule hiyo ikimilikiwa na jeshi la tanzania. Amir wetu
akiwa kama mgeni rasm leo juma pili tarehe 26/10/2014. kama tunavyo
ona hapa
Mgeni rasmi muhajir hussen akijibu risala ilio somwa na moja ya wahitimu, kushoto Amir wa shule hiyo
Amir wa habar mstaafu wa chuo cha utumishi magogoni Busazi hamisi aki toa nasaha kwa wahitimu
mgeni rasmi akitoa vyeti kwa moja ya wahitim
mlezi aki watembeza wagen shuleni hapo
mgeni rasmi akimkabidhi chet muhitimu wa kike
Mgeni rasmi akijiandaa kuondoka
No comments:
Post a Comment