Sunday, October 26, 2014

AMIR MSTAAFU KAALIKWA KUWA MGENI RASMI

Asalam alaykum Amir mstaafu Muhajili hussen akiambatana na Amir  wa habar Busazi. katika  Shule ya AIRWING HIGH SCHOOL gongo la mbuto jiji dsm shule hiyo ikimilikiwa na jeshi la tanzania. Amir wetu akiwa   kama mgeni rasm leo juma pili tarehe 26/10/2014. kama tunavyo ona hapa
   mlezi wa jumuiya ya wanafunzi rutini akitoa nasaha
 Mgeni rasmi muhajir hussen akijibu risala ilio somwa na moja ya wahitimu, kushoto Amir wa shule hiyo
 Amir wa habar mstaafu wa chuo cha utumishi magogoni Busazi hamisi  aki toa nasaha kwa wahitimu


 mgeni rasmi akitoa vyeti kwa moja ya wahitim


 mlezi aki watembeza wagen shuleni hapo
 mgeni rasmi akimkabidhi chet muhitimu wa kike
 Mgeni rasmi akijiandaa kuondoka

  







Wednesday, October 22, 2014

TAAALIFA

                             ASALAM ALAYKUM

      TPSC MUSLIM STUDENTS ASSOCIATION (TMUSA)

                                       TUNA TALAJIA KUFANYA MAHAFALI YA TATU TAREHE 8/11/2014. SAA 2:00 ASUBUHI UKUMBI WA MAKUMBUSHO YA TAIFA KARIBU NA CHUO CHA IFM POSTA KAMA MWANA JUMUIYA MUHIMU KUFIKA KUFIKA KWAKO NDIO MAFANIKIO YA MAHAFARI HIYO
                     WAKO KATIKA IMANI 
                           
                                        HAMISI BUSAZI 
                                            KATIBU WA MAHAFALI
                                                  PIGA    0713130507
                                                              SHUKRAN

Thursday, October 2, 2014

MAHAFARI YA PILI JUMUIYA YA WANAFUNZ WA KIISLAM CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA (TMUSA)





Kulia ni katibat wa TMUSA ukhut Ramla idd

Amirat wa chuo cha ustawi wa jamii akimkabidhi cheti moja ya wahitim
kushoto ni amiri wa habari TMUSA akiwa na wahitimu
moja ya wahitim akikabidhiwa chet na mgeni rasmi Mwenyekiti wa TAMPRO

Mgeni rasmi mwenyekit wa tampro akitoa nasaha kwa wahitimu






TMUSA POSTS