Friday, November 21, 2014

TAALIFA YA HIJABU NA MTIHANI

   ASALAM ALAYKUM.
1)   KIKAO KILICHO FANYIKA TAREHE IJUUMAA. NA VIONGOZ WA CHUO NA MLEZI WA JUMUIYA NA VIONGOZI KUWA HIKI KIPINDI CHA MTIHNI WA VAE BAIBUI NYEUSI NA KOT NA MTANDIO MWEUSI. MAELEZO ZAID PIGA 0713130507/0766737246. AU KIONGOZ YEYOTE JUMUIYA


2) TUNAOMBA ALLAH ATUONGOZEE KTK MITIHAN ITAKAYO FANYIKA 24/11/2014. TUWE MFANO KWA KUFATA KANUN NA TARATIBU ZA CHUO NA MITIHAN TUSIJE TUKAONEKANA KUWA WAISLAM WATU WENYE SIFA MBAYA. ALLAH ATUONGO ZEE ILI TUWEZE KUFAULU PIA ATUPE SUBILA KWA VITIBWI HIVI.
 

Friday, November 14, 2014

MAHAFALI YA 3 YA WANAFUNZI WA KIISLAM CHUO CHA UTUMISH WA UMMA

             YALIYO FANYIKA 8/11/2014 KATKA UKUMBI WA MAKUMBUSHO YA TAIFA POSTA YAKIWA NI MAHAFALI YA KWANZA KWA UWINGI WA WATU WAPATAO 362 NA WALIO HITIMU NA KUPATA VYET VYA TAMSYA NI 92 KUTOKANA NA JITIHADA ZA VIONGOZI KUSIMAMA KIDETE KUAKIKISHA UISLAM UNA SIMAMA CHUON HAPO. NA VIONGOZI HAO NDIO WANAO MALIZA AKIWEMO BUSAZI HAMISI, RAMLA IDDY, HASSANI MGALA, NAWENGINEO BAADA YA WALE WLIO PITA KAMA MDAYA,NJIGANI MADINA YUSRA,MWINYI NA WENGINEO SASA KWA UWEZO WA ALLAH UMMOJA UMEFANIKIWA KWA KIASI KIKUBWA KWA KUPITIA CHANGAMOTO NYINGI HAPO CHUONI, IKIWEMO SUALA LA HIJABU,KURUHUSIWA KUBANDIKA MATANGAZO, ALLHAMDULILLAH LIO VYOTE HIVYO VIMESIMAMA. KWA KWELI VIONGOZI HAWA WAMEPIGANA MPAKA WAMEFANIKIWA. HATUTA WEZA KUALIPA TUNA MUACHIA ALLAH PEKEE. TUTA WAKUMBUKENI SANA VIONGOZ SHUPAVU KAKA BUSAZI, DADA RAMLA,HASANI,MUHAJIRI,NJIGANI,MDAYA, MADINA, BILA KUWASAHAU WALEZI WETU UKHUT MARIAM KUHENGA,MAIMAM MASJD FERI. DHIMA NYINYI MNAO BAKI KWANI KAZI KUBWA IMEKWISHA KAKA BUSAZI MWANA HABARI MAKINI AMEKUA MSTAR WA MBELE KUUTANGAZA UMMOJA CHUO KIZIMA NA LEO WATU WANAUJUA BILA KUOGOPA MTU ALLAH AKULIPE NAWEZA KUKUPA KAMA KIONGOZI BORA KILA MTU ANA KILI HILO. TUAGALIE PICHA HIZ
 WAHITIMU PAMOJA NA WAGEN WAKIWA UKUMBIN
 AMIR HABAR NA AMIRAT HABAR  WASTAAFU


 AMIR MSTAAFU MUHAJ AKIWA NA WAHITIMU
WAGEN RASM WAKIWA  MEZA KUBWA
 MLEZ UKHUT MARIAM AKIWAKABIDHI  WAHITM VYET

 MOJA YA WAHITIM AKISOMA RISALA



 AMIRAT WA DAWA AKISOMA SHAIRI
 AMIR CHUO CHA I\@
 RAIS WA CHUO AKIMPA MKONO MOJA YA WAHITIM

 MGEN RASMI


 MGENI RASMI AKIKABIDHI VYET


 NAIBU AMIRAT AKIMPA MKONO MOJA YA WAHITIMU DADA MWAHIJA



 KATIBU MSTAAFU AKITOA SHUKRAN HASANI MGALLA


 AMIR CHUO CHA DIT
WAHITIMU WAKIWA UKUMBIN







 NAIBU KATIBU MSTAAFU AKIWA NA AMIR
 
 MLEZ WA JUMUIYA AKITOA NASAHA




picha zimepigwa na mohamed kimangale amir wa habari na kuwekwa na busazi amir wake mstaafu. ahsanteni.

Wednesday, November 5, 2014

MAHAFALI YA TATU (3) JUMUIYA YA WAIISLAM CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA DSM (TPSC MUSLIM STUDENTS ASSOCIATION- TMUSA)

 TPSC MUSLIM STUDENTS ASSOCIATION (TMUSA)

asalam alaykum wanafunz wa kiislam wanatarajia kufanya mahafali ya kuaaga wanafunzi wenzao katika ukumbi wa makumbusho ya taifa posta mkabala na chuo cha IFM saa 3:00 asubuhi. Takribani ni wanafunzi 100 wanaagwa KARIBUNI SANA.  BY BUSAZI HAMISI KATIBU WA MAHAFAALI



                        WANAO MALIZA NI HAWA WAFUATAO


TANZANIA PUBLIC SERVICE COLLEGE (TPSC)
TPSC MUSLIM STUDENTS ASSOCIATION (TMUSA) DSM
MAJINA YA WANAFUNZI WANAO MALIZA    31/12/2014

DIPLOMA IN RECORDS MANAGEMENT (DRM-IV)
WANAUME
NO


1
ABDILLAH NKINDA HATIBU
2
ABDULLHAMAN ZAIYD LUBAGA
3
ATHUMAN J. KANSEGE
4
HASSAN NGALLA IBRAHIM
5
JAFARI J. NYIRENDA
6
MOHAMED HAMISI
7
RAHIMU MILANZI
8
RAJABU Y. SANDALI
9
SALIM A. SALIM
10
SALUM ABDALLAH MADEGA
11
SHABAN KHATIBU ABDALLAH
12
TAIMURU H. KURUMBUA
13
YAAQUB S. MOHAMED








WANAWAKE



1
AMINA I. MSUYA
2
AMINA O. MENGASHAKI
3
ASHA ZALAFI LIGANDUKA
4
ASHURA FARAHANI SALUM
5
ASIA T. MLAWA
6
ASYA JUMA MWADINI
7
FARIDA MUSA ABDULL
8
FATUMA H. NYALINZE
9
FATUMA M. KANDEWA
10
FATUMA M. WAKANAI
11
FATUMA SELEMANI ITUNDI
12
HADIJA OMARY
13
HALIMA ALLY EMILE
14
HUSNA JAMAL MALISENI
15
ITIALLY A. OMARY
16
JAMILA M. ABDALLAH
17
KAMALEY HABDUL
18
KHADIJA ALLY
19
KHADIJA S. NJAKU
20
LATIFA KASSIM MPILI
21
LULU S. FIKIRINI
22
MARYAM YUSUPH HAMISI
23
MOSSY SHOMARY ALOYCE
24
NEEMA M. FRANCIS
25
NEMBOGA ALLY HASSANI
26
NURU AYUBU SAWE
27
NURU HAJI
28
PILLY ATHUMAN SMA
29
RAMLA IDDI HAMISI
30
REHEMA ALLY CHAMBUSO
31
REHEMA M. MWAKALINDILE
32
REHEMA S. MVUGALO
33
RISALA ABDALLAH MSUYA
34
SALHA MORIS MAKORERE
35
SALHA NASSIR SALUMU
36
SALMA B. MATOLA
37
SAUMU R. TARATIBU
38
SHARIFA T. MKANGAZI
39
TATU JUMA KISUSU
40
TUNUSURU F. KATINDA
41
UGUMBA MOHAMED KUCHILIGULO
42
ZAITUNI ALLY SINDE
43
ZAITUNI IDDY ALLY
44
ZAYANA NUHU









DIPLOMA IN SECRETARIAL STUDEIS (DSS)

1
DAIMA SIMON
2
FATUMA S. RUKEMO
3
MARIAM SALIM MUSHI
4
MWANAHAMISI MAKENGO MAJANGU
5
RAHMA M. MSELEM
6
REHEMA KASSIM MAMBA
7
SUBIRA H. SWALLAH
8
TATU KIUMWA
9
ZAINAB HASSAN
10
ZAINABU MAKENGO MAJANGU



DIPLOMA IN HUMAN RESOURCE (DHR)
WANAWAKE
1
SALIMA S. KIJOGOO








DIPLOMA IN INFORMATION TECHNOLOGY (DIT)

                                                             WANAUME
1
JUMANNE OMARY MWAMBA
2
HAMISI M. BUSAZI
3
YUSSUFU ABDALLAH
4
MUHAJI H. RAMADHANI




BASIC TECHNICIAN CERTIFICATE IN INFORMATION TECHNOLOGY (BTCIT)
1
AMINA H. AHMAD






BASIC TECHNICIAN CERTIFICATE IN SECRETARIAL STUDEIS (BTCSS)
WANAWAKE
1
MWANAHAWA JUMANNE KIBWANA
2
MWASHABANI ABDALLAH
3
SUHAILA SEIF MOHAMED
4
ZAINABU IDD









BASIC TECHNICIAN CERTIFICATE IN RECORDS MANAGEMENT (BTCRM)

WANAWAKE
1
AJIRA L. MOHAMED
2
ARAFA MOHAMED CHUO
3
FATIMA SALUM MOHAMED
4
HAWA SAIDI MOHAMED
5
ZAINABU IDDI




WANAUME

1
AZIZI H. MBUMI
2
ISIAKA RAJABU KIENDA
3
MAHMOUD M. MOHAMED









BASIC TECHNICIAN CERTIFICATE IN PUBLIC PROCUREMENT AND SUPPLY (BTCPPSM)
WANAUME




ABDULL-RAHIM SALUMU ALI


WANAWAKE
1
MOZA OMAR MOHAMED
2
SOPHIA HABIBU HASHIM
3
AISHA NASORO
4
LAILA JUMA RAMADHAN









  TUNA WATAKIA KILA LAKHER KTK MAISHA MSISAHAU IBADA NA RENGO LA ELIMU KWA MISINGI YA DIN PIA KUAMRISHANA MEMA NA KUKATAZANA MABAYA SIS NI UMAT BORA.



TMUSA POSTS