Friday, November 21, 2014

TAALIFA YA HIJABU NA MTIHANI

   ASALAM ALAYKUM.
1)   KIKAO KILICHO FANYIKA TAREHE IJUUMAA. NA VIONGOZ WA CHUO NA MLEZI WA JUMUIYA NA VIONGOZI KUWA HIKI KIPINDI CHA MTIHNI WA VAE BAIBUI NYEUSI NA KOT NA MTANDIO MWEUSI. MAELEZO ZAID PIGA 0713130507/0766737246. AU KIONGOZ YEYOTE JUMUIYA


2) TUNAOMBA ALLAH ATUONGOZEE KTK MITIHAN ITAKAYO FANYIKA 24/11/2014. TUWE MFANO KWA KUFATA KANUN NA TARATIBU ZA CHUO NA MITIHAN TUSIJE TUKAONEKANA KUWA WAISLAM WATU WENYE SIFA MBAYA. ALLAH ATUONGO ZEE ILI TUWEZE KUFAULU PIA ATUPE SUBILA KWA VITIBWI HIVI.
 

No comments:

Post a Comment

TMUSA POSTS