TPSC MUSLIM STUDENTS ASSOCIATION (TMUSA)
TUNA TALAJIA KUFANYA MAHAFALI YA TATU TAREHE 8/11/2014. SAA 2:00 ASUBUHI UKUMBI WA MAKUMBUSHO YA TAIFA KARIBU NA CHUO CHA IFM POSTA KAMA MWANA JUMUIYA MUHIMU KUFIKA KUFIKA KWAKO NDIO MAFANIKIO YA MAHAFARI HIYOWAKO KATIKA IMANI
HAMISI BUSAZI
KATIBU WA MAHAFALI
PIGA 0713130507
SHUKRAN
No comments:
Post a Comment